Dogo tuko pamoja Niko mid 30's sijawahi hata jaribu naomba pia Mungu anilinde sana na hyo kitu!!!na mashosti zangu ni wale walevi haswaa ila miye kazi yangu fanta orange, bavaria, grand malt na maji

I have a friend pia ambae hatumii kabisa..hata tukiwa na girls day out wote tutakunywa hata vi wine yeye hagusi na hajawahi kuonja hata kifuniko..maombi yangu kwenu muendelee hivyo hivyo aisee. Mnakua na kau virgin kenu flani ivi spesheli..Respect