Nikiwa mjamzito na nikiwa nanyonyesha huwa sigusi kabisa pombe, so toka nimeachisha nimetokea tu kutotaka kunywa tena.....kuna siku niliagiza Amarula nilipata tabu sana hata kunywa nusu glass....
Mimi ndo napona, nimemeza azithromycin tablets siku mbili na paracetamol Mara moja sijiskii kuendelea. Hali ya mdomo sio nzuri sijui ninywe Nini Leo au nijaribu nyagi
Nikiwa mjamzito na nikiwa nanyonyesha huwa sigusi kabisa pombe, so toka nimeachisha nimetokea tu kutotaka kunywa tena.....kuna siku niliagiza Amarula nilipata tabu sana hata kunywa nusu glass....
Nimekuelewa vizuri. Pombe sio nzuri ukifanikiwa kuacha ni jambo jema!..Ujauzito wa ngapi ulisababisha hiyo hali ya kuacha kabisa?Huyo mtoto ana baraka zake

It's the season to wish one another joy, love and peace. These are my wishes for you, Merry Christmas dear friends, may you feel all the love on this special day.