Nilianza na Drosty Hof nikaenda small planet pale nikahamia humo napoozea na robertson na zile amapiano na wana mara mzigo umekata 😂! Nikasema nijaladie na serengeti lite.
Nimetoka pale niende TIPS weee niliishia parking nashukuru tu sikuwa naendesha siku ile. Nikamwaga chenchi hata sikujua ilikuwaje. Nimekuja amka kesho saa 4 sijielewi nilifikaje geto ila chenchi zilinisaidia.
Baba mtumishi anakubania, anaota utafaidi venye anafaidigi yeye😂😂
Siku akikupa ukamtunzie nawe jisevie fasta, asikubambe tu lakin itakua vita humo ndani