Hahhaaa wakati nimelewa siku nzima toka jana jioni mpaka Leo pombe imegoma kutoka kichwani [emoji28][emoji28]
Nikimaliza chupa si mtanisahau?!
😂😂😂Mtanifamya nijione mzembe.
Hahahahah hilo li smirnoff sio chungu, kuna Desperado pia sio chungu pamoja na savannah! Kama ushakunywa savanna desperado ina same taste! Kuna ile flynig fish ya TBL pia sio chungu ile nayo ina ladha ya limao na sukari[emoji28]
Unanyoa nini Anne😀?[emoji7][emoji7][emoji7]
Kesho nanyoa
Ukiwa unakunywa tu unaskilizia utamu bila kuangalia idadi, utaskia mziki wake ukitaka kunyanyuka magoti yote yanagoma😂😂Hahahaha mie mwenyewe nilipiga mbili tu juzi kati nikaona weee hii ni nini naweka kwa mouth just to find out ni 7% niliwacha ujinga nikawasha chombo na kusepa
Nikikaa na Iso naenjoy sanaKunywa na mm hutaki kabisa[emoji28]
Yaani kulewa siwezi kabisa mimi.Wewe huwezi kulewa kabisa ni kweli[emoji28] ntakuwekea 2 kwanza kisha utaongezewa 2 zingine ili uanze kunifundisha kinyaki[emoji28]
Nwele za kichwani[emoji23]Unanyoa nini Anne[emoji3]?
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]
Wala sio mzembe, ni maamuzi tu. Kama umejiwekea wewe kilevi no wala hata usiziguse ila kama hunywi sababu ya uoga basi kuna sweet wine kibao zenye Alc% ndogo zinaweza kukufaa na ukaenjoy.
Nilianza na Drosty Hof nikaenda small planet pale nikahamia humo napoozea na robertson na zile amapiano na wana mara mzigo umekata 😂! Nikasema nijaladie na serengeti lite.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana aiseee
Pombe siyo chai
Haiwezekani kama bia hutazinywa hizoYaani kulewa siwezi kabisa mimi.
Haiwezekani
Msubirie arudi basiNikikaa na Iso naenjoy sana
Nitakunywa hizo mnazoita wine na sitalewa.Haiwezekani kama bia hutazinywa hizo
Baba mtumishi anabana hadi penatii...Aiseee
Hizi nazo baba mtumishi hataki ninywe
Yah hadi arudi.Msubirie arudi basi
Bwana awe nawe😅Nitakunywa hizo mnazoita wine na sitalewa.
Pole sana basi😅Yah hadi arudi.
Hii pombe nitaionja.
Wewe sidhani kama upo charming kama ISO[emoji23]
Anakaba kotekote wakati yeye hizo wine tamu anabugia.Baba mtumishi anabana hadi penatii...
Ila msikilize na umtii maana ndio kichwa cha nyumba huyo[emoji28]
Kabisa yaani.Bwana awe nawe[emoji28]