wee huyo uliye mtaja muache, mkewe anafaidi aseeh, kwa wembamba ule na urefu piaa, aaah afu iwekwe style ya msomali kafia kwenye fiati acha bhana wee,
Kukinaisha kunatokana na huo ubonge jaman wee mzee, sasa mwanaume unakua bonge ili ugundue nn? Kawe kakitambi ka kufutia tecno F1 bas,
Nakuja hivyoo hebu niwekee na kitumoto na maji makubwa ya masafi au kitulo,