missyrose JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 3,014 Reaction score 7,337 Dec 24, 2021 #128,961 Jack Palladino said: hiyo avatar ni wewe? Click to expand... Hapana mkuu..huyo ni mtu tu ninayemkubali.
Jack Palladino said: hiyo avatar ni wewe? Click to expand... Hapana mkuu..huyo ni mtu tu ninayemkubali.
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,628 Reaction score 19,810 Dec 24, 2021 #128,962 Mmeamkaje mabibi na mabwana?
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,628 Reaction score 19,810 Dec 24, 2021 #128,963 Saint Anne naamini azuma inazidi kuiweka sawa omicron, get well soon tunakuhitaji kesho ukiwa na afya njema. Kijana wa hovyo hovyo naamini ulifanyia kazi ushauri wa wadau humu na ulipata kitunguu saum na unaendelea vizuri.
Saint Anne naamini azuma inazidi kuiweka sawa omicron, get well soon tunakuhitaji kesho ukiwa na afya njema. Kijana wa hovyo hovyo naamini ulifanyia kazi ushauri wa wadau humu na ulipata kitunguu saum na unaendelea vizuri.
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Dec 24, 2021 #128,964 Kijana wa hovyo hovyo said: Miaka mingi sana sijapata mambo haya ya majipu, hili nalishangaa limetokea wapi.. limetibulia mambo yangu kabisaa.. hapa natamani nikalie kichwaaa Click to expand... Kama limeiva tayari nenda dispensary hasa private, mchague nesi mzuri akutumbue jipu. Usisahahu kuchukua namba ili aendelee kukushauri kuhusu pain killers za kumeza. Mrejesho Utaleta kule kimasiharani Kijana wa hovyo hovyo
Kijana wa hovyo hovyo said: Miaka mingi sana sijapata mambo haya ya majipu, hili nalishangaa limetokea wapi.. limetibulia mambo yangu kabisaa.. hapa natamani nikalie kichwaaa Click to expand... Kama limeiva tayari nenda dispensary hasa private, mchague nesi mzuri akutumbue jipu. Usisahahu kuchukua namba ili aendelee kukushauri kuhusu pain killers za kumeza. Mrejesho Utaleta kule kimasiharani Kijana wa hovyo hovyo
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 Dec 24, 2021 #128,965 Lee said: mahondaw amka bosslady😊 Click to expand... Nimekuja asante kwa kuniamsha bosi wangu!
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Dec 24, 2021 #128,966 mahondaw said: Nipo hapa asante kwa kuniamsha bosi wangu! Click to expand... Najua jana umechoka sana
mahondaw said: Nipo hapa asante kwa kuniamsha bosi wangu! Click to expand... Najua jana umechoka sana
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 Dec 24, 2021 #128,967 Lee said: Najua jana umechoka sana Click to expand... Yaniii.. nimechoka balaa hapa ... Hope you are all fine daddii!!
Lee said: Najua jana umechoka sana Click to expand... Yaniii.. nimechoka balaa hapa ... Hope you are all fine daddii!!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 Dec 24, 2021 #128,968 Lee said: Mkuu umenikumbusha mbaliiiii kinomaaa....r.i.p bibi Click to expand... jamaniiii!! Mimi pia amenikumbusha mbaliii...wa kishua hawawezi kuijua hii!!!
Lee said: Mkuu umenikumbusha mbaliiiii kinomaaa....r.i.p bibi Click to expand... jamaniiii!! Mimi pia amenikumbusha mbaliii...wa kishua hawawezi kuijua hii!!!
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Dec 24, 2021 #128,969 mahondaw said: Yaniii.. nimechoka balaa hapa ... Hope you are all fine daddii!! Click to expand... Just missing u 😔
mahondaw said: Yaniii.. nimechoka balaa hapa ... Hope you are all fine daddii!! Click to expand... Just missing u 😔
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Dec 24, 2021 #128,970 BUSH BIN LADEN said: Saint Anne naamini azuma inazidi kuiweka sawa omicron, get well soon tunakuhitaji kesho ukiwa na afya njema. Kijana wa hovyo hovyo naamini ulifanyia kazi ushauri wa wadau humu na ulipata kitunguu saum na unaendelea vizuri. Click to expand... Hapa ndio kikatafutwe mkuu nipake, wengine hatupikagi.. vitu kama hivyo ngumu kuwa navyo ndani 🙁🙁🙁..
BUSH BIN LADEN said: Saint Anne naamini azuma inazidi kuiweka sawa omicron, get well soon tunakuhitaji kesho ukiwa na afya njema. Kijana wa hovyo hovyo naamini ulifanyia kazi ushauri wa wadau humu na ulipata kitunguu saum na unaendelea vizuri. Click to expand... Hapa ndio kikatafutwe mkuu nipake, wengine hatupikagi.. vitu kama hivyo ngumu kuwa navyo ndani 🙁🙁🙁..
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Dec 24, 2021 #128,971 Kashaija72 said: Kama limeiva tayari nenda dispensary hasa private, mchague nesi mzuri akutumbue jipu. Usisahahu kuchukua namba ili aendelee kukushauri kuhusu pain killers za kumeza. Mrejesho Utaleta kule kimasiharani Kijana wa hovyo hovyo Click to expand... Saint Anne kanikazia anaweza sana kuhudumia ila kachomoa.. nipo napambana nalo tu hapa
Kashaija72 said: Kama limeiva tayari nenda dispensary hasa private, mchague nesi mzuri akutumbue jipu. Usisahahu kuchukua namba ili aendelee kukushauri kuhusu pain killers za kumeza. Mrejesho Utaleta kule kimasiharani Kijana wa hovyo hovyo Click to expand... Saint Anne kanikazia anaweza sana kuhudumia ila kachomoa.. nipo napambana nalo tu hapa
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Dec 24, 2021 #128,972 Kheri ya kirisimasi.. Your browser is not able to play this audio. Your browser is not able to play this audio. Your browser is not able to play this audio. Your browser is not able to play this audio. Your browser is not able to play this audio.
Kheri ya kirisimasi.. Your browser is not able to play this audio. Your browser is not able to play this audio. Your browser is not able to play this audio. Your browser is not able to play this audio. Your browser is not able to play this audio.
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Dec 24, 2021 #128,973 Shimba Ya Buyenze said: Uzuri wa jipu likiiva na kukamuliwa tu kwisha kazi siku hiyo utalala usingizi mtamuuu na baada ya siku kadhaa kidonda kishakauka. Ila siku mbili tatu kabla halijaiva ni kamuziki safi kwa kweli. Pole aisee! Click to expand... Na hasa ukiwa hujazoe kuugua, inapotokea umeugua ni shida sana. Inafikia huelewi kitu
Shimba Ya Buyenze said: Uzuri wa jipu likiiva na kukamuliwa tu kwisha kazi siku hiyo utalala usingizi mtamuuu na baada ya siku kadhaa kidonda kishakauka. Ila siku mbili tatu kabla halijaiva ni kamuziki safi kwa kweli. Pole aisee! Click to expand... Na hasa ukiwa hujazoe kuugua, inapotokea umeugua ni shida sana. Inafikia huelewi kitu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #128,974 BUSH BIN LADEN said: Saint Anne naamini azuma inazidi kuiweka sawa omicron, get well soon tunakuhitaji kesho ukiwa na afya njema. Kijana wa hovyo hovyo naamini ulifanyia kazi ushauri wa wadau humu na ulipata kitunguu saum na unaendelea vizuri. Click to expand... Nimejiona shujaa nikatoka kwenda kwenyw mishemishe.. Hapa nipo hoi,nimezidiwa kwenye mwendokasi..nataka nirudi kulala.
BUSH BIN LADEN said: Saint Anne naamini azuma inazidi kuiweka sawa omicron, get well soon tunakuhitaji kesho ukiwa na afya njema. Kijana wa hovyo hovyo naamini ulifanyia kazi ushauri wa wadau humu na ulipata kitunguu saum na unaendelea vizuri. Click to expand... Nimejiona shujaa nikatoka kwenda kwenyw mishemishe.. Hapa nipo hoi,nimezidiwa kwenye mwendokasi..nataka nirudi kulala.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #128,975 Kijana wa hovyo hovyo said: Saint Anne kanikazia anaweza sana kuhudumia ila kachomoa.. nipo napambana nalo tu hapa Click to expand... Nakuja na kitunguu Tukipaka asubuhi,jioni litakuwa tayari limeiva.
Kijana wa hovyo hovyo said: Saint Anne kanikazia anaweza sana kuhudumia ila kachomoa.. nipo napambana nalo tu hapa Click to expand... Nakuja na kitunguu Tukipaka asubuhi,jioni litakuwa tayari limeiva.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #128,976 Mshana Jr said: View attachment 2055193 Click to expand... Nakumbuka nyumbani
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #128,977 Lee said: Saint Anne amka Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #128,978 geraldincredible said: usituangushe mwanangu kula misosi...achana na hzi breakfast Click to expand... nakula kislay queen
geraldincredible said: usituangushe mwanangu kula misosi...achana na hzi breakfast Click to expand... nakula kislay queen
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,173 Reaction score 190,739 Dec 24, 2021 #128,979 Saint Anne said: DinnerView attachment 2055115 Click to expand... Unashiba kweli hii bila ubwabwa😅
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,173 Reaction score 190,739 Dec 24, 2021 #128,980 Alayna said: Tbt Chat na picha kwa maneno ya Nuzulati View attachment 2055056 Click to expand... Jf watoto wazuri wapo kumbe sema tu mnaringaga😅 kutuonesha majaliwa.
Alayna said: Tbt Chat na picha kwa maneno ya Nuzulati View attachment 2055056 Click to expand... Jf watoto wazuri wapo kumbe sema tu mnaringaga😅 kutuonesha majaliwa.