Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni jipu, sema la tako huwezi lipiga picha, unaweza kuta tako limepaukaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa nachart kidogo huku kujipoza maumivu.. hadi nipitiwe na usingiz.. nilikishika hivi bado bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo jipu linaweza kuwa la mchongo HM..Binafsi namshukuru Mungu hiyo kitu haijawahi nipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo jipu linaweza kuwa la mchongo HM..Binafsi namshukuru Mungu hiyo kitu haijawahi nipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž Miaka mingi sana sijapata mambo haya ya majipu, hili nalishangaa limetokea wapi.. limetibulia mambo yangu kabisaa.. hapa natamani nikalie kichwaaa
 
hamna haimbi hata..
Wee aliwahi umwa dada angu tena yeye lilikaa kweny paja, [emoji23][emoji23][emoji23] alifanya hivyo alivokua analia had tulikua tunamuonea huruma.
Asubuh alivoamka alikuta ndo limeiva, akapaka dawa ingne ya mitishamba jion yake lilijitumbua lenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wimbo mzuri sana Mama Mchungaji. Asante kwa kutushirikisha
Your browser is not able to play this audio.
 

Attachments

kumbe shida kuvuta!? nimeshampa angalizo kuhusu hilo na ndio utendaji kazi wa hiyo dawa..
 
Weka picha ya dada tumuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ