[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bando langu la mwezi limeisha eti,yaani hata siku 3 hazijafika jamani[emoji24] sinayo matumizi zaidi ya jf na WhatsApp[emoji41]
Voda watanipukutisha[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nn wee?Yuko Mbinga ndani ndani bila shaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh, mie nikiwekwa mtu kati nakufa, maan siwezagi kuvumilia.Ilinigharimu,nikawekwa nyavuni semester ya mwanzo ya mwaka...
Nikaanza kuishi kwa stress.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nina pua ya kinyakyusa typical mkuu tena kama zile za wanaume maana wanaume wengi wa kinyakyusa pua zao zinafanana. Na ukizingatia nimefanana na mzee copyright.
Japo sijaiona grand malt,au ndio ina jina jingine ushamba wangu haujaniacha salama[emoji849]Umepata my ex
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona akina Gwakisa na dokta Tulia wana pua sex toa emoji banaa.
Mtu yuko Mbinga huko unamuuliza updates za liver kweli![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nn wee?
Subiri uwekwe ndio utaona uvumilivu unakuwaje.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh, mie nikiwekwa mtu kati nakufa, maan siwezagi kuvumilia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana hapa.Aah mi siyo pisi kali wewe
Pisi kali navaa 42
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee khaaah.Pole aisee
Hiyo,Al-Jazeera na BBC naangalia mwenyewe
Mr anaangalia Azam sinema zetu
Kumbe wanaimbaga hivi...!?Mary's Boy child Jesus Christ was born on christmas day
Hark now hear the angels sing
A king was born today
And man will live for'ever more
Bse of christmas dayView attachment 2054469
[emoji16]ndiyoKumbe wanaimbaga hivi...!?
Bei zimesimama haswaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini sasa dea? Afu mbna simple tyuuh, unajua ktk jambo lolote km unalipenda na ni fantasy yako huwezi ona ugumu wowote.Huwa mnapata wapi maneno serious ya kuongea?
Dah labda mi nimezoea mzaha,yaani ukiniweka kwenye issue ya kuongea sana nitabakia kimya tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi wee mbna simple sana, navopenda mie wee acha tyuuh, nimekuwa MC tang std la 5, had 4m 6, graduation zote za shule nlikua mie MC.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kunywa maziwa nilegeze sauti itoshe kusema kuwa mc ni shuuli nzito sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wife materialsDaaah kwa hiyo wengi wetu tuna sura za baba??? aisee