Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yoshua Bin Sira.31:25-31

Usijionyeshe kuwa hodari was kunywa kileo,yaani,mvinyo imewaangamiza wengi.

Tanuru hujaribu kazi ya mhunzi,na mvinyo mioyo ya watu,katika Ugomvi wa wenye kiburi.

Kwa wanadamu mvinyo Ni Kama maji ya uzima,ukinywa kwa kiasi.
Je anao uzima gani mtu asiye na mvinyo?

Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu.
Mvinyo Ni furaha ya moyo na changamko ya roho,ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha.

Lakini kunywa mno Ni uchungu wa roho,na fedheha,na Ugomvi.

Kileo humzidishia mpumbavu mitego na humletea hasara,hupunguza nguvu na zaidi huleta jeraha.

Usimkaripie jirani yako penye karamu ya mvinyo,Wala usimdhihaki anapocheka;Wala usimwambie neno la shutumu...,.
 
Back
Top Bottom