Nimependa ukuta wa room yako, uko cool, hiyo wakat wa majambozi hakna haja ya kufumba macho, macho unayaelekeza hapo ukutan huku una feel uko Uruguay unatalii nchi ya kina Suarez [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimependa kucha zako [emoji7][emoji7][emoji7]
hahaha km unavyobana wwUnatubania sura mtakatifu
ewa haya ndo mambo ya disemba, sio disemba inafika unaanza kuwaza ,kodi,mara cjui nn,Kaskazini kumekucha ni mwendo wa kula mbuziView attachment 2053453
ewa haya ndo mambo ya disemba, sio disemba inafika unaanza kuwaza ,kodi,mara cjui nn,
Disemba mpk january ni bata tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Khaa nimetamani Haya maelezo yakae katika video
Na rangi hiyo umepatia, [emoji7][emoji7][emoji7]Asante ndo sehemu ya mwili wangu ninayoipenda
Wekeni na kitimoto bas.Kaskazini kumekucha ni mwendo wa kula mbuziView attachment 2053453
Ah zile nywele nimewahi kusuka mara 1 tu maisha yangu yote hadi sasa.Twende kilioni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu kasuke njia 3, gharama juu yangu, au nikusuke mwenyewe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnasubiri mambo ambayo hayapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee subiri kwani
Mi jana niliachia mbonahahaha km unavyobana ww
Niliweka hapa nzimanzima ukawa umepotea hewaniUnatubania sura mtakatifu
Sitabiriki,,soon utakuta nimenyoa nachana.5 kichwa mamii...umeniacha peke yangu kwene kunyoa
safi haya ndo mambo rafiki.unakuta jitu disemba hii,linawaza kodi.ada,sikukuu.kha
ewa haya ndo mambo ya disemba sasa .niko kitarasa pub nazigidaView attachment 2053464
[emoji1635]
mmh mbn cjaiona,iachie tenaMi jana niliachia mbona
Kakiuno[emoji177]
Hivi wanaochapiwa ni Wanaume Wanene peke yao? ππ Watu wakishakinaiana hata wote wawe wembamba tupu kama Paul Kagame bado watachapiiana π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli mie cna akili wallah, yaan nikiona mwanaume yeyote mnene nawaza mchumba/mke wake ana tabu vipi ktk mtanange ule wa kupelekana kanaani kwa muda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Afadhar mwanamke hata awe bonge kias gan, kifo cha kunguni kina leta masham sham na mshawasha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu fanya mazoezi huko, utachapiwa shauri yako wee zubaa tyuuh, usiseme hujaambiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]