Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe umenishinda tabia 😅😅🙌

Sipati picha ingekuwa unaelezea kwa vitendo sijui ingekuwaje 🙈
 
Wewe,nasikia peramiho kuna chimbo kule[emoji3]
Mwenzio basi hayo machimbo nayajua basi[emoji3]!!!!!

Njoo bana, tuonane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko peruu kwa chimbo matata bado sijalipata fresh hilo. Yaan wee kuwa mpolee mambo yatakua mswano.

Au nenda pale the hunt club kaogelee, ila tatzo pale wanajaa wazungu, waarabu koko na wahindi, mie sipendi panakua tafran tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ila ndo sehemu ya kimataifa ya starehe kwa Songea nzima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…