Hii picha niliizoom sana kupiga hao ndege watatu, mmoja ni kunguru. Nilivutiwa na hao ndege hasa ubishi wa kunguru wa kutaka kugombania chakula na huyo ndege mkubwa kiumbo.
Funzo: usijione mnyonge pigania haki yako hata mbele ya wenye nguvu.
View attachment 2052638