Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaag
 
Niombee niwe Chibonge kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe chibonge ili ugundue nn? Huyo bibi mda wote wa kujipimia anao? Si atakinai? Au tumbo linafunika mapaja bibi inabidi mnara afuate kwa nyuma sasa si utumwa huu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu fanya mazoezi huko. Khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipe maelezo yaliyonyooka[emoji849]...DarSlum haiendi popote [emoji16]
Songea tatizo miundo mbinu yake mibovu, hapo mjini enyewe center unaweza sema kijijini tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ila kwa ukarimu tupo vizuri wangoni, utapewa na zawadi ya dagaa nyasa ambao hawapatikan kokote zaidi ya huko kwetu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee pia si umepita JKT?
 
Dah kweli
Ukipigwa sehem yyt kati ya hizo lazm ukae chini kwanza mf ya pua doooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…