Afu unajua ndo huwa nashangaa hapo, maan nna watu wanasoma pale degree, yaan wanavo supp na ku carry, nkawa nawauliua vipi wanasema wee pale pagumu mno,
Sasa huku kwenye Doctorates wanagawa tyuuh au kisa viongozi.
Wasalam mabibi na mababu. Leo ni miongoni mwa siku ambayo ipo katika rekodi zangu ambazo sitazisahau kamwe hapa duniani. Ilikuwa hivi leo wakati niko maeneo ya kongowe stendi nkasema ngoja nifike tuangoma kuna ishu nifatilie, wakati natoa toa macho kusubiri Daladala kuna jamaa angu wa kitambo...