donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Mi nilijua security ni tradable financial asset mkuu[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 2049133View attachment 2049134View attachment 2049135View attachment 2049136View attachment 2049139View attachment 2049142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UDOM kinapendwa bhana, huoni viongozi ndo wanakimbilia huko kuchukua doctorates, hahahahWengi wanakiandama Udom kwa sababu hawakipendi ila hizi PhD Udom siyo ya kwanza kuanza kuwagawia watu[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutafute hela na sisi tukachukue aisee.
Akina Biteko sasahivi nimadaktari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Wanajamiiforum walivyowakalia kooni sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
hahahahaHata mimi sizijui nazisikiaga tu mkuu, JF kila mtu ni tajiri na ni masikini kulingana na mazingira na mada husika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc bhana wenzio wanatazama movie akati. Mda wote huu wagundue nn sasa?Mechi bado imechanganya huko
Shoba heluwa wagidiNani ako TNT aje anikunywe bia??
View attachment 2049168
Hanijui bhana cc, couz hajawahi ona face angu. [emoji23][emoji23][emoji23]Hakujui??
Subiri uone
Ni ujinga sana kama kweli wamewapa watu PhD za bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UDOM kinapendwa bhana, huoni viongozi ndo wanakimbilia huko kuchukua doctorates, hahahah
Yaani hao akina Biteko watakuwa wanatamani hata wakazirudishe hizo PhD walizopewa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huyu mkubwa n mwanao? Km n mwanao hongera mwenyeji, sio kwa kujitunza ivo, upo km binti wa 4m 5 Iringa Girls, kumbe mama wa familia daaah. [emoji23][emoji23][emoji23]
Bora Hata huko, UDSM jaman lects wana roho mbaya sana, wananyima mno marks, yaan ili sijui iweje, kuna lect kaniudh UE somo fulan iv kaninyima marks, kaishia kunipa B- akat nlijua ntatoka na A, yaan hata B+ kunipa kaona jau mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni ujinga sana kama kweli wamewapa watu PhD za bure
Tena nakuja PM kuulizia kuhusu hizi tradable financial asset mkuu hasa crypto....Mi nilijua security ni tradable financial asset mkuu
Hata ukienda kule undergraduate ndo hivyohivyo hakuna marks za bure[emoji23]Bora Hata huko, UDSM jaman lects wana roho mbaya sana, wananyima mno marks, yaan ili sijui iweje, kuna lect kaniudh UE somo fulan iv kaninyima marks, kaishia kunipa B- akat nlijua ntatoka na A, yaan hata B+ kunipa kaona jau mweeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maan hata hao viongozi wanaenda huko UDOM kwenye unafuu.
Ngoja nimjaze upepo j3 aje na quiz[emoji16]Hanijui bhana cc, couz hajawahi ona face angu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Usinitishe hapa, ikawa nshachomeshwa mda wee.
[emoji28]basi wacha nikuaminiHapo nimezoom camera sana, Siku ukiniona utastaajabu [emoji12]
Hawana mapumziko hao[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc bhana wenzio wanatazama movie akati. Mda wote huu wagundue nn sasa?
Uzi gani?JF raha sana mi mwenyewe leo kuna uzi nimesoma nimecheka comments za watu hadi machozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu unajua ndo huwa nashangaa hapo, maan nna watu wanasoma pale degree, yaan wanavo supp na ku carry, nkawa nawauliua vipi wanasema wee pale pagumu mno, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata ukienda kule undergraduate ndo hivyohivyo hakuna marks za bure[emoji23]
Labda huko kwenye PhD
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa ntakua nafaulu tyuuh, unamuambia akupe maswali afu unanipa mie nasolve kabisa.Ngoja nimjaze upepo j3 aje na quiz[emoji16]