Ushawishi wa nje umekuwa mkubwa kuliko wa ndani ππ so....sidhani kama ntaenda. Nadhani ntaomba kutumiwa picha tu πDooh basi uliokutana nao siyo wanyakyusa maana Mbeya mjini pana mchanganyiko wa makabila mengi kama Dar tu! Kwahiyo wewe huendi kuhesabiwa?
Uko vizuri mkuu
Pale mbozi pazuri ni kule ofisi za mkoa zilipo,,,Teh na eti ndiyo wameweka Mbozi kama makao makuu ya mkoa wa Songwe! Hiyo stand yake tu ya mkoa inasikitisha na inazidiwa hata na stand ndogo za daladala za Dar na imepewa hadhi ya mkoa na kuna wakuu wa mkoa na wilaya kabisa!
Ndiyo mie siku zote najuaga kwenye cinema zetu nyingi 3D glasses ni lazima. So jitahidi ukinunua uitunze hiyo ili next time usinunue tena.Tatizo hata sio ubichi, Bei ya kiongilio ni 15K/7$ mimi nilijichanganya nikaingia kwenye ratiba inayoonyesha muvi Hii kwa format ya Imax 3D/Hologram. Sasa ili uangalie muvi katika mfumo huu lazima uwe na miwani maalumi Unless utaona mawenge. Miwani wanauza 10K..So jumla 25K imelala, ila inauma maana after 2Months muvi unaweza kuipakua kwa bando la buku. Btw Pesa kitu gani bwana..
Unataka nifungue code za mwalimu wako kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee utanifanya nihame huu uzi wallah, usinambie, hebu njoo PM nieleze kitu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan wallah sijawahi kujua nawee n mpana iv, akaaaah
Kivipi Vale? π€Uko vizuri mkuu
Chibonge [emoji28]Kivipi Vale? [emoji848]
Kutoka Karma University of linguistics [emoji38][emoji38]PhD in Nyakyusa language
Lazima twende sawa na akina Msukuma [emoji12][emoji12]
Hahaha au sioHahaah bado pesa ya kawaida sana hii, nitakualika siku moja tuonane labda uwe mbaliβ¦
Hakuna cha Ubonge wala niniπ, tumezoea kupanda milima tu huku Kijijini ndiyo Vigimbi kuota hivyo ππChibongeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muvi nilizowahi kuangalia cinema zote niliangalia kwenye mfumo wa 2D hapa kulikua na upande wanaonyesha kwa 2D pia sema wanaanza usiku. So mimi nikazama kwenye 3D kwakua inaanza saa 10. Haka kamiwani nitakatunza mwezi may panapo majaaliwa nitakatumia kwenye Doctor StrangeNdiyo mie siku zote najuaga kwa cinema zetu hizi 3D glasses ni lazima. So jitahidi ukinunua uitunze hiyo ili next time usinunue tena.
Lakini kama ndiyo unaenda kwa mara ya kwanza inatakiwa ununue na ukikataa hawakulazimishi ila utakachoenda kukishuhudia huko ndani utafurahi na roho yako. Pole it's a nice experience though.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi wee lolHakuna cha Ubonge wala nini[emoji12], tumezoea kupanda milima tu huku Kijijini ndiyo Vigimbi kuota hivyo [emoji12][emoji12]
Saiv si ungekua wee apo ndo unatuliza ball [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo mechini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kidogo tyuuh.Unataka nifungue code za mwalimu wako kweli?
Haha sawa sawa dear. Kila la heri katika safari yako ya kutalii baadhi ya miji ya nyanda za juu kusini.Ushawishi wa nje umekuwa mkubwa kuliko wa ndani [emoji846][emoji57] so....sidhani kama ntaenda. Nadhani ntaomba kutumiwa picha tu [emoji16]
Haha eti zimening'inizwa [emoji1787][emoji1787]Pale mbozi pazuri ni kule ofisi za mkoa zilipo,,,
Tena nazo zimening'inizwa kule juu kabisa,kubayaa
Stand ya daladala mbezi ni kali mno kuliko ile stand ya vwawa ya mkoa .
Kabisa, lazima niende sawa na Musukuma. Na taarifa za Chini chini hata Kibajaji naye anakaribia kutunukiwa PhD, kwahiyo nitabaki Mimi tu ndiyo sina ππKutoka Karma University of linguistics [emoji38][emoji38]
Pale ofisi za mkuu wa mkoa ukienda na gari bovu mnaweza jikuta linakwama halipandishi pale juu kwa jinsi palivyokaa.Haha eti zimening'inizwa [emoji1787][emoji1787]
Hahaha au sio