Walivuruga sana mpangilio wetu.
Walituonea sana watu wa ileje..
Sasa hivi mkoa wa Songwe hata haueleweki.
Kwanza wandali walianza kugoma kugawanywa huu mkoa,
Wakasema wao wanachojua wapo mbeya
Kipindi hicho hawajaweka bado ofisi Mbozi,watu walikuwa wanaenda chunya
Hizi ni fedheha sana.