Happy birthday Shangazi Maria Sarungi, kiukweli umekua mwanamke wa mfano sana katika uwanja wa Kupigania haki, historia itakukumbuka.View attachment 2048652
Ni yeye Obadia mwasebwa (obby).
Kumbe kijana wa watu yuko safi kwa matumizi ya binadamu na anashawishi.
Sasa sijui hapo alipaka mafuta ya bunduki au oil lol.
Ni yeye Obadia mwasebwa (obby).
Kumbe kijana wa watu yuko safi kwa matumizi ya binadamu na anashawishi.
Sasa sijui hapo alipaka mafuta ya bunduki au oil lol.