Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Hatukuachana kwa sababu ya pombe.Kwani Mtakatifu alitaka Jack Palladino aache Vyombo kwa siku moja? Hata Yesu Mwenyewe alifanya kazi ya kuhubiri kwa miaka 3, Yeye mwaka tu alitaka kuona matokeo Chanya?
Saint Anne redo your homework [emoji1732]
Freshi mkuu uko pande zipi ( Lamadi or Brd?)Sawa namhala....
Kwema lakini mkuu
Nimewahi kufika! Hela zipo kwa wanaojishughulisha na uchimbaji wa dhahabu ila si unajua tena hiyo biashara lazima uwe vizuri kwenye yale mambo!You are right madam
Umewahi kufika kule Mkuu? Kuna wakati niliambiwa kuna hela za kutosha kule, so I had to go trying my luck [emoji123]
Mhhh mbona nimeshaharibu soon nakua single boy[emoji23]Pambana na bebe wako
Weee nani kasema [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ukivaa zile bakabaka kila kitu kinaenda sawa.
Niliachwa sababu sijatulia eti michepuko mingi[emoji3]Kwani Mtakatifu alitaka Jack Palladino aache Vyombo kwa siku moja? Hata Yesu Mwenyewe alifanya kazi ya kuhubiri kwa miaka 3, Yeye mwaka tu alitaka kuona matokeo Chanya?
Saint Anne redo your homework [emoji1732]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole[emoji16],,,uliwakorofisha,si unawajua wa hapa wala hawanaga mambo mengi[emoji16],wanapunguziwa makali na watoto wazuriWe hunambii kitu, nilishawahi kujichanganya nikaingia kwenye anga zao! Kilichonikoa ni mbio zangu!! Maana nilichomoka Usain Bolt anasubiri! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Nichukulie mdogo wanguWeee nani kasema [emoji2][emoji2]
Ushaharibu kama kawaida yakoMhhh mbona nimeshaharibu soon nakua single boy[emoji23]
Nahi sijavutiwa nazo [emoji2][emoji2]Unataka kusema hata assist za Bukayo Saka hujawahi kuvutiwa nazo?
Mh! Sikuwakorofisha ila nilikatisha kwenye njia ambayo walishasema watu wasikatishe...na ndio shortcut!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole[emoji16],,,uliwakorofisha,si unawajua wa hapa wala hawanaga mambo mengi[emoji16],wanapunguziwa makali na watoto wazuri
Hahaa na wewe si ndiyo wale mnaowapenda wachezaji kutokana na muonekano pia. Najua hata akishuka chati bado utaendelea kumkubali sababu tu ya muonekano wake.Dogo siyo mchoyo
Assists zake zinazaa matunda.
Kanajituma mno,na kalivyo kahandsome basi nikimuona nafurahi na roho yangu.
If you can't walk alone! You gonna walk with the devil[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nina mahaba naye binafsi.Hahaa na wewe si ndiyo wale mnaowapenda wachezaji kutokana na muonekano pia. Najua hata akishuka chati bado utaendelea kumkubali sababu tu ya muonekano wake.
Tulia utaharibu kazi [emoji1][emoji1]Nichukulie mdogo wangu
[emoji23][emoji23]Tulia utaharibu kazi [emoji1][emoji1]
Nilidhani Pombe, keep that reason with you.Hatukuachana kwa sababu ya pombe.