Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata mimi juzi nilikuwa nashangaa wanaoumwa.
Siyo utani,maana wiki iliyopita sister katoka job,kavua zake nguo mie nikazikusanya,akaniambia nisiziguse kashinda job kuhudumia mgonjwa was corona


Kimbembe kwake sasa,hazikupita siku mbili,alikuwa anakohoa,mafu,mwili kuchemka,kutokuwa na hamu ya kula,vipimo wakamwambia Hana homa
 
Mimi ilianza koo wiki nzima linanikereketa.

Jana kitu kilivyo jibu nikasema tayari

Kwa jinsi ninavyozoa jasho la watu kwenye daladala kuumwa ni halali yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…