[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani yameanza hapa[emoji34],nahisu wiki yangu ya pili ishatimia leo,Kama ni mzurulaji basi jua Ni suala la muda tu.
Ukute ipo njiani,,,si inalipuka baada ya wiki 2[emoji23],ukute wiki yako ya pili ni kesho.
Hahahha! Naghutaje ung'wanike nyandaNg'wagoko bhageshi
Hata mimi sielewi alipokwamia[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa upo naye Kijiji kimoja anakwama wapi kijana wetu?
Jack Palladino unakwama wapi na Mtakatifu aliamua hadi kuanza kupiga Vyombo kwa ajili yako[emoji12]
Kweli huyu ni TAANikimuona huyu mtoto napona homa[emoji7][emoji173][emoji91]View attachment 2047850
Nibariki na picha yako nyingine
Hata mimi juzi nilikuwa nashangaa wanaoumwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani yameanza hapa[emoji34],nahisu wiki yangu ya pili ishatimia leo,
Maana nilizurula sana,
Fanya namna mkuuNitazituma, nilimuahidi Mjep pia tangu jana. Ila mimi na wewe; fresh tu
Nampenda huyu dogo jamani[emoji173]Kweli huyu ni TAA
Umeanza[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] poaa kesho hiyo...ila jitahidi utoke toke usiku uzoee dunia na wakazi wakeNitakuja kesho mkuu[emoji23]
Usiku sasahivi siwezi kutoka,,,watahisi covid imenipanda kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku mwema.Umeanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha....Ogodakaga gonitaja onkima one nyanda?Hahahha! Naghutaje ung'wanike nyanda
You are right madamHiyo barabara ya Chunya mkuu au
Tena huyo ndio anafaa kabisaJitahidi mzuge zuge dada wa watu angalau hata miezi 6.
Hata mwezi haujaisha unataka umpige chini chaa!!![emoji23]
Huyo NaddySL mzungu wa roho,,,wa mamtoni huko..
Hizi drama zako mtawezana kweli?
Dah na hivi bimkubwa anakuja[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] poaa kesho hiyo...ila jitahidi utoke toke usiku uzoee dunia na wakazi wake
Sasa kaka yake ndio Bwana wangu mimi.Tena huyo ndio anafaa kabisa
Kwako pia[emoji120]Usiku mwema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha kwamba mimi ndiyo umenifanya mbuzi wa kafara siyo [emoji1787][emoji1787]
Enheee nipatie coz nimemuelewa sanaSasa kaka yake ndio Bwana wangu mimi.
Nakupaje wifi yangu my ex?