Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahhh dogo unayajua mabhungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman bas kule kwetu yapo mengi kwenye ile miti ambayo inakua na utovu fulan wekundu, bas yanatanda mti mzima, khaaaaah wee nlikua nasikia yanaliwa, si kule kwetu hatuli haya mawungu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Khaaaah watu wana moyo kwa kweli, mie hata kuona naogopa.
 
Haya si mawungu? Tobaaaaah wee mbna had kichefu chefu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe nimekuta hotel fulani Wachina wame order, ndiyo nikaomba kwa watu wa jikoni nikaone.

Kweli kuna watu hawajui Kula vizuri, yaani unaacha nyama zote za Kuku, Mbuzi, Ng'ombe, Kondoo, Kiti, Bata alafu unakwenda kubugia midudu ya ajabu vile 😜🙆
 
Yaan mie nimeshtuka, nkajua ndo wee unakula aaah, sikutaka kuamini eti [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanakula
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona picha km 3 ni za maeneo ya karibu na kwangu, naamini wee n lect wa UD. hahah
Nilikwambia mimi unachat na walimu wako humu na unawaita 'nyoko'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…