Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo natoa ofa ya lunch kwa me na ke watakao tupia selfie kali ,ofa itakua breakpoint.255 lounge. Au tanzanite park. Wana selfika kazi kwenu
Hawa wanastahili
Screenshot_20211216-090726.jpg
 
Yeah hata mimi huwa sipendi kupelekeshwa, kazi za ndani ambazo angalau napenda kufanya ni kufua na kusafisha nyumba. Kwa sababu sipendi kuvaa nguo chafu wala sipendi kukaa kwenye mazingira machafu, ila kupika na kuosha vyombo daaaah hapana kwa kweli nisiwe muongo hizo huwa nazifanya basi tu.
Mimi nikivurugwa tu naacha.
Sitaki kabisa nifokewe,,,kama kitu nimekosea nataka niambiwe kistaarabu.
 
Back
Top Bottom