Naomba uje unisaidie mimi mama mchungaji
Naogopa naweza kukutafutia mtu halafu akakusumbua.
Ungekuwa karibu ningekusaidia for free...
Sasa huko Arusha ni mbali[emoji38],na mimi ni multi purpose.