Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtoto una ngozi laini wewe yani ndo mnakujaga kutupa lawama kwamba mabaharia tuna tabia mbaya mana watoto kama nyie tunawatafuna kotekote walahi..
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87]mende
 

Ha ha mkuu mbona kama unakata tamaa mapema,
 
Natambua kuna wadau hapa wana kazi moja tu kuzi download ama kuzi screenshot picha zote zenye sura zinazowekwa hapa....
Nasema hivi... NAOMBA MNISIKILIZE KWA MAKINI SANA..
kama unafanya hivyo kwa nia njema hakuna shida kabisa LAKINI kama unafanya hivyo kwa NIA OVU... nasema OLE WAKO.. [emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji49][emoji83][emoji84][emoji88][emoji88][emoji88]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…