Selfika na JF: Snap it. Show it

Katika wote sisi; angalau wewe ndiyo unajitahidi kwa upole;hawa ndugu zangu wengine ni shida kwa kweli. Ingawa kwenye misimamo yako sasa; nasemaga hakika huyu ni mnyaki

Wadada wa Kinyaki huwa wanajiamini sana na ni kitu kizuri.

Misimamo naona ipo kwenye damu zetu
huwa nakusoma Nkamu unatoa point taratibu na utulivu ila madini tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…