Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo huyo 😹😹
Huyo shem naye jina lake gumu sana, hapo umekufa umeoza..!!
Au sio 🤣🤣
😹😹 Acha zako wewee humjui huyo?
Kwakweli simjui
Mkongomani hasikii haambiwi kwako, yeye ukimwambia lolote anafanya..!! 😹😹
Hizi habari sina 🤣🤣
Hata yeye mkongomani nadhani pia habari hizi hana 🤣🤣🙌🏼

Unajiamulia mambo heaven gelo
 
Back
Top Bottom