Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,570
- 235,411
Mh mtakatifu hizi nyimbo unazijua?Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba
Oyaa kaa ukijua gharana
Tundaman[emoji444][emoji444]
Nipo tiptop naimba nyimbo zao.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna pombe huko nimeandaliwa na ISO M.CodD inaitwa smith nini nini sijui ice off.
Kumbe imerudi sokoni na hausemi[emoji23]
Kwahiyo siyo smart?Smart wapi!
Au kwa vile anakunywa pombe za bei[emoji23]
Sana tu..Mh mtakatifu hizi nyimbo unazijua?
Expert unaniangusha.[emoji23][emoji23][emoji23]
Heee[emoji28]Sana tu..
Mbona kipindi nakushushia verse enzi hizo hukuuliza ?
Hujatulia Jack nakwambiaKwahiyo siyo smart?
Unajidai ndiyo unaniona leo eeh??Heee[emoji28]
[emoji39][emoji4][emoji11]Romance huku mambo mengine yanaendelea[emoji847]
Fanya kurudi kwa mtakatifu wakoUwa sina mambo mengi kabisa hadi leo nabaki najiuliza kwann Mtakatifu kaniacha[emoji21] labda sababu ni Jack Daniels
Mhuuuu πHaha kumbe na wewe uko kama mimi? Mimi nikiwa napiga picha eneo fulani lazima nipige angle zote kulia, kushoto, mbele na nyuma utafikiri navuka barabara!
π³π€£π€£π€£π€£π€£Hii miguu kama nimeshawahi kuiona sehemu, lakini siikumbuki ni wapi![emoji2365][emoji2365][emoji2365]
ππππ€©π€©Huku Tanga tunasema Mashaallah! Mguu ndiwo...πππ
Huyo ni chaguo lakoFanya kurudi kwa mtakatifu wako
Akaishije the rest days!?![emoji3]Kna mwanafunz alikula boom lote sku 1 club, itakua alinunua hizo Jack Daniels
Karibu Tanga..π€ππππ€©π€©
Acha kunitesa basi baba mtumishi[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nina kazi moja tu hapa....kuvizia mataga wakalale ndo niweke sasa [emoji1787][emoji1787]