sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,151
Oky
Oky
Kaka tutalima wapi sasa.....
Pole mamiiiiMvua ya leo imevuruga mambo[emoji19]
Ratiba .
Pole dear .Mvua ya leo imevuruga mambo[emoji19]
Ratiba .
Nimeitamani hii[emoji39] Lakini mh![emoji120]View attachment 2040789
Yaani [emoji51]Pole dear .
AsantePole mamiiii
Kaka?!Kaka tutalima wapi sasa.....
Mvua hii inaharibu mamboYaani [emoji51]
Nimerudi kulala.
Sehemu ninayosali ujenzi haujakamilika bado kwa hiyo kukiwa na mvua ni changamoto.Mvua hii inaharibu mambo
Vipi mzima ?
Naweza kuja kukukinga na ule mwamvuli mkubwa, vipi nije? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Sehemu ninayosali ujenzi haujakamilika bado kwa hiyo kukiwa na mvua ni changamoto.
Mimi mzima,
Mungu ni mwema
Unaendeleaje??
Kitaalamu zaidi.Nimenenepa sana nkamu sijui hata ni nini wakatu nna stress vibaya mno[emoji19]
Pole aseeNipo mkuu nakula drip hospital tu, afya imeteteleka kidogo View attachment 2041004
Utawakinga wangapi?Naweza kuja kukukinga na ule mwamvuli mkubwa, vipi nije? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Pole mkuuuNipo mkuu nakula drip hospital tu, afya imeteteleka kidogo View attachment 2041004
Mshukuru Mungu Mvua imenyesha.Sehemu ninayosali ujenzi haujakamilika bado kwa hiyo kukiwa na mvua ni changamoto.
Mimi mzima,
Mungu ni mwema
Unaendeleaje??