Mechi imeishaNamtafuta baby wangu namtafuta baby wangu
Kazi inaendelea[emoji28]Si useme tu unatumia dawa[emoji23][emoji23]
Babe [emoji173]Namtafuta baby wangu namtafuta baby wangu
Hahaaaaaa@Saint Anne acha uongo. Droo Iko poa. Kila team imewin.Utakuwa wapi tukishinda ili nije kukuonyesha matokeo!?
Nipo hapa kabwe leo.
Fs[emoji5][emoji5][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Gerald bana
Tangu asbh nilisema tunadrawHahaaaaaa@Saint Anne acha uongo. Droo Iko poa. Kila team imewin.
Babee where where you?Babe [emoji173]
Tumetoka kukasulubisha kawajina kako huko.Fs[emoji5][emoji5]
I am here babeBabee where where you?
Mbona kama unalia Gerald,Nini mbaya?Fs[emoji5][emoji5]
Wifi hongera imetoka vizuri.I'm trying
I've tried.
Asante Lizzy kwa kunimotivate,na mimi nimejaribu kupika [emoji38]
Sina oven,nimepikia mkaa.
missyrose
Lizzy View attachment 2040317View attachment 2040320View attachment 2040319View attachment 2040321
Hawaii ya Ununio auNani yupo Hawaii muda huu
Si ulisema hujaweka Baking powder? ukiweka hiyo sasa itachambuka.Japo hata haijachambuka kihivyo[emoji38]
Wataalam mtanifundisha,niongeze nini nipunguze nini.View attachment 2040335
Vidole [emoji7][emoji7]Work before pleasure [emoji3061]View attachment 2040689
Aw[emoji847][emoji7][emoji108]Wifi hongera imetoka vizuri.
Endelea hivyohivyo kujifunza, kaka yangu kazoea mapochopocho. Bado mikate ya ufuta sasa.