cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,298
- 187,950
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntaweka sku yake.Halafu tunaharibu vipi uzi,wakati ndio utakua hakika umeutendea haki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntaweka sku yake.Halafu tunaharibu vipi uzi,wakati ndio utakua hakika umeutendea haki.
Aisee we umentapeli nimeweka zangu,afu zako umegomea..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntaweka sku yake.
Tuwe serious bas, kwan wee hujaona picha zangu? Bas ntakutumia PM full picha angu. Co hapa, kuwa muelewa bas. [emoji23][emoji23][emoji23]Aisee we umentapeli nimeweka zangu,afu zako umegomea..
Yaani wewe.
Wewe ndio hauko serious Coca,kwanza saiz wamelala,unafuta chap chap.Tuwe serious bas, kwan wee hujaona picha zangu? Bas ntakutumia PM full picha angu. Co hapa, kuwa muelewa bas. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee huijui JF kumbe, wapo popoz wanachungulia tyuuh hapa.Wewe ndio hauko serious Coca,kwanza saiz wamelala,unafuta chap chap.
Unawaogopa?Wee huijui JF kumbe, wapo popoz wanachungulia tyuuh hapa.
Sipendi tyuuh.Unawaogopa?
Kwani una baya na mtu?
Ushavuruga sasa mkuu.Acha woga wengine tumelala
[emoji23][emoji23][emoji23]Ushavuruga sasa mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem Ex ulale huko nawee, unasubiri nn had saiv?Acha woga wengine tumelala
Nimelala[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem Ex ulale huko nawee, unasubiri nn had saiv?
Disco limeshaingia mmasai ahaahahaa![emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mi naingia kulala now. Nyie endeleeniDisco limeshaingia mmasai ahaahahaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute uko viwanja, unapiga vyombo, hahahahNimelala[emoji28]
Mimi pia wacha nilale, nataka nidamke asubuh mapema nipige mchaka mchaka,Mkuu mi naingia kulala now. Nyie endeleeni
Tupo,mkeshaji mwenzetu upo?Wakeshaji mpo
Nipo mkuu nakula drip hospital tu, afya imeteteleka kidogoTupo,mkeshaji mwenzetu upo?
Kuna aina tofauti za Jack Daniels na ujazo tofauti pia inategemea sehemu gani unanunua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukute uko viwanja, unapiga vyombo, hahahah
Iv et Jack Daniel n elfu 65? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nlikua nambishia rafk angu nkamuambia hakna pombe inayozidi elfu 50, sasa nlikua naogopa kukuuliza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna aina tofauti za Jack Daniels na ujazo tofauti pia inategemea sehemu gani unanunua.