sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Amka mama wahi lupasoYani wewe ndio umenitoa kwa bed nahii taarifa sasa nipange ratiba zangu mapemaaa kumbe leo 11 Dec dahh!!
Amka mama wahi lupasoYani wewe ndio umenitoa kwa bed nahii taarifa sasa nipange ratiba zangu mapemaaa kumbe leo 11 Dec dahh!!
Hahahaa mkishinda nidai jerseyWee msukuma Unataka nifanyeje ili tupinge?? Mjiandae pa kujificha tu matokeo ni vice versa na unavotarajia wewe jipange!
Usije tu ukakimbia baada ya kipigo kitakatifu leo!Wee msukuma Unataka nifanyeje ili tupinge?? Mjiandae pa kujificha tu matokeo ni vice versa na unavotarajia wewe jipange!
Mzee umeopoa mrembo mkali saaana. Hongera
Ni waifu huyu sijaopoa mkuu. Unaopoa unafikiri samaki kha!Mzee umeopoa mrembo mkali saaana. Hongera
Hongera sana. Huyo shemeji bila shaka ni yanga damuNi waifu huyu sijaopoa mkuu. Unaopoa unafikiri samaki kha!
Nani akimbie weeeeeeehhh!Usije tu ukakimbia baada ya kipigo kitakatifu leo!
Yaniiiiii msubiri kunyolewa tu!!Hahahaa mkishinda nidai jersey
Mkitufunga Simba nakupa 10kPM yako ingekuwa wazi ningekuja tupinge. Laki tano Yanga akipigwa nakupa, laki tano Simba akipigwa unanipa. Simba lazima achakazwe leo...tena goli 3 au khamsa kabisa akizubaa!
Nakaziaaa!!! Shimba Ya BuyenzeMkitifunga Simba nakupa 10k
Tukiwafunga Yanga we utanipa ngapi?
Ni sangapi inaanza mechi?Nakaziaaa!!! Shimba Ya Buyenze
MorningMorning!
![]()
10K hiyo hiyo ama?Mkitufunga Simba nakupa 10k
Tukiwafunga Yanga we utanipa ngapi?
Haki ya nani leo natajirika leo. mahondaw ulisema unanipa ngapi tukiwachapa?Mkitufunga Simba nakupa 10k
Tukiwafunga Yanga we utanipa ngapi?
Haya sawa10K hiyo hiyo ama?
Hapo unaingia kanisani bageshi?HAPPY SABBATH DAY SAINTS View attachment 2040134




Naingia kanisani ndiyo BhageshiHapo unaingia kanisani bageshi?
Sabato njema. Īlelo ndūhū gūzinga nūlū guganika bakima. Gūsoma Bibilia guke īlelo![]()