[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiih, yaan niko hoi kwa kucheka hapa khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo kote kote mkuu wangu. Kule kwenye likes nilishatoka mazima. Huwa nasaka sehemu salama ambako kuna upendo, vicheko na furaha. Huku kulikuwa salama sema tu hivi karibuni kuna pepo la ushoga limeng'ang'ania halitaki kuondoka na wananzengo wanaporomosheana matusi hatari. Kuna haja ya kupumzika kidogo mpaka kutakapotulia. Kama kuna chimbo jingine ambako kuna furaha na upendo kama ilivyokuwa hapa nielekeze [emoji16][emoji16]
😍😘 pretty!Lala na hiyo babeView attachment 2038797
Karibu jamvini..tupia kaselfie basi wakuone nami niringe Nina kifaa😁Nipo ku relaksi tu na wana JF wenzangu wasiokuwa na stress za ndoa. 🤣🤣🤣
Umepigwa picha ya google😍😘 pretty!
Dah kweli?😂😂😂Umepigwa picha ya google
😀😀😀😀😀Dah kweli?😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shos kwanini msiwakataze hawa watu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata chimbo nitag nami nikuje Hapa chefuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] kabisa!
Ni babe wangu yule😀😀😀😀😀
Yaan vichwa mmekutanaNi babe wangu yule
Makapuku nayo mliiua na Bitoz wenu. Hovyo tu...[emoji16][emoji16][emoji16]Au tukafufuee makapuku[emoji2][emoji2][emoji2]
Daaaah kwelii.inabidi tutafute chimbo jipyaMakapuku nayo mliiua na Bitoz wenu. Hovyo tu...[emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani kuna wanawake warembo duniani😋Lala na hiyo babeView attachment 2038797
Smoothie!Lala na hiyo babeView attachment 2038797
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku nako unadhani kunaeleweka?
Huku watu wameng"ang"ana kuanzisha mambo ya ushoga.
Utatamani urudi kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaba uselfike Dada yetu[emoji847]
Tobo limezama sn ndani🤸🤸Zangu za nitosha mwaya[emoji120]
Kwetu ni kaulemavu yaani[emoji116]
Kadogo kangu[emoji116]
View attachment 2038787
[emoji173][emoji173]Lala na hiyo babeView attachment 2038797
Ahsante babuuu yangu kipenzi, nimekuelewa. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Rudia kusoma huu mstari kwa utulivu ..
Kwa utashi na hekima kuu una nafasi adhimu ya kufanya hili liwezekane..
Mjukuu ni utashi na hekima tuu.. Sio uonevu wala si kutafuta mkosaji ...ni UTASHI na ni HEKIMA.. Haya mawili huepusha shari nyingi.. Ukiweza YAZINGATIE.. nimetumia neno UKIWEZA ambalo bado linaturudisha kwenye UTASHI
Cariha amesharudisha majeshi uzini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila angle kuna mwamba, just imagine naaambiwa mie mwamba wa ktk kupiga spana na kupangua hoja kwenye mada flani iv, afu naaambiwa nafanya hivyo huku natabasamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cariha ni kiboko yule, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa sikuhizi pananuka na nina kinyaa hatariiiiii!! Hujanitag huko MMU jamani nimepitwa naona pages nyingiii sijui hata pa kuanzia!!!!