Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Siyo vizuri lakini ni halali yakeSio vizuri
Siyo vizuri lakini ni halali yakeSio vizuri
Nilipokuwa Jana palinichosha 😂😂 afu ukijumlisha na hiki kimvua hadi simu nilikuwa naiona nzito.Leo ulijichimbia wapi?
Siyo vizuri lakini ni halali yake
Pole jamani. Mvua inaboa kweli.Nilipokuwa Jana palinichoshaafu ukijumlisha na hiki kimvua hadi simu nilikuwa naiona nzito.
Niliona net net Dada![]()


Ni mmoja wa mafurushi ya JFHaki yake kwan kafanyaje?
Nimekuta page zimetembea nyingi nikaanzia hapo kwenye net.Pole jamani. Mvua inaboa kweli.
Ila ina raha yake.
Umeona hiyo tuu?![]()
Kusema usiku mwema?
Hannah umerudi kwenye limbwata hili la Mshana? Ulipoaga leo asubuhi tena ukiwa kwenye Benzi nilifikiri ndo imetoka hiyoPole jamani. Mvua inaboa kweli.
Ila ina raha yake.
Umeona hiyo tuu?![]()



Hizi Ni soksi au?