Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Nipo jana na leoMwana mpotevu
Nipo jana na leoMwana mpotevu
👊Nipo jana na leo
Alafu kuna watu wananunua magar kwenda kuhesabiwa wakirudi wanauza tenaHiki kipindi sio kizuri sana kwa safari, gari zinakuwa nyingi sana na hata walio nunua gari juzi na kujifunza kuendesha nao wanaenda makwao...
Tuwe makiniKweli kabisaa, jana nilikuwa naenda uvinza, nimekutana na ajari nyingi sana. Wengine kwenda kuosha sura home tu kuwa nao wamo
Morning , kidole gumba sijakiona🙂Morning [emoji113]!
View attachment 2037903
Una vidole vizuri, Hongera.Morning [emoji113]!
View attachment 2037903
Mimi pia jana nilikua nasafiri kwenda sehemu fulani njiani tulikuta ajali mbili sehemu tofauti zote alikufa mtu hapo hapo! Yani nikikumbuka zile damu pale chini dah[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45] Mungu atusaidie na kutuepusha kwakweli!![emoji120]Kweli kabisaa, jana nilikuwa naenda uvinza, nimekutana na ajari nyingi sana. Wengine kwenda kuosha sura home tu kuwa nao wamo
Kipo bana!!Morning , kidole gumba sijakiona[emoji846]
[emoji2772]hiMorning [emoji113]!
View attachment 2037903
Ngoja niangalie tenaKipo bana!!
Best combo ever 😋😋Wali dagaa
Ulikuwa unaenda wapi asee. Umeenda kuhesabiwa mkuuMimi pia jana nilikua nasafiri kwenda sehemu fulani njiani tulikuta ajali mbili sehemu tofauti zote alikufa mtu hapo hapo! Yani nikikumbuka zile damu pale chini dah[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45] Mungu atusaidie na kutuepusha kwakweli!![emoji120]
Hahahaaa .. hapanaUlikuwa unaenda wapi asee. Umeenda kuhesabiwa mkuu
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Acha nile kwa macho mimi mihogo bado inachemka jikoni!!![emoji2957]
Kaka nilikuwa shift😅..wacha nilale tusisumbuane mida hii😅We boya unalala saa 1 asubuhi
mahondawMorning [emoji113]!
View attachment 2037903
Rabeka!!! Happy endependence day Ely!
Habari za asubuhi mpendwaRabeka!!! Happy endependence day Ely!
Holy shiet 😍 lady you been blessed! One thing thats missing is a Nigga to Pet that glorious fine body.Morning [emoji113]!
View attachment 2037903