Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Ni kweli kabisa mkuu, hapa tunapiga story tu masaa yaendeMkuu kila mtu kwa nafasi yake humu ila kwa umri wa wastaafu wapo free zaidi maana yale majukumu muhimu yanamuachia iwe kafanikiwa au la.
utafungwa 30 plus, mwanafunzi huyo ana hatimiliki ya mama HangayaUgonjwa wangu View attachment 2035057
keyword 'wastaastafu'Mkuu kila mtu kwa nafasi yake humu ila kwa umri wa wastaafu wapo free zaidi maana yale majukumu muhimu yanamuachia iwe kafanikiwa au la.
Jamaa kachukia yule dahNi kweli kabisa mkuu, hapa tunapiga story tu masaa yaende
Umemzidi miaka mitatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unazingua!!
Siyo mwanafunzi bhana....utafungwa 30 plus, mwanafunzi huyo ana hatimiliki ya mama Hangaya
Kwema mkuumkuu sema
Hahaaa mimi siyo wife material kabisa mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2035051
Ohooo.. kwaiyo tukmvisha Karma uniform unaachana na mpango wako 🙄🙄Siyo mwanafunzi bhana....
Umeona wapi kavaa yunifomu?[emoji3]
Mimi mwalimu
[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mweeh ni Mtumishi kiutani tu
Rudisha jina lako[emoji1787]Mkuu, huyu Saint Anne anazingua sana yani. Amefanya kila mtu kajua, natamani nmkamate achezee bakora za kwenda[emoji23]
safi...tuendelee kuchitchatKwema mkuu
Hahaaa sasa mtishike na nini huyo siyo mimi bana [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hapo ukiwa kazini ha ha haaa usitutishe
Ugonjwa gani huu bageshi?Ugonjwa wangu View attachment 2035057
mjedaHahaaa sasa mtishike na nini huyo siyo mimi bana [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mie siyo mjeda nawazingua tu [emoji3][emoji3]mjeda
Mie siyo mjeda nawazingua tu [emoji3][emoji3]
Haha, mzee naona umeamua kumdanganya mtu mzima!!December 12 nagonga 76. Nadhani ndiye mzee JF nzima. Najiweka hapa ili tu kubakia sharp mentally. Hata last born wangu anakuzidi umri kwa miaka zaidi ya 20!
hahahahaHaha, mzee naona umeamua kumdanganya mtu mzima!!