Mzee tushazeeka yani, life is so fast yani. Sio poa!Enzi zile watoto wakikuta hiyo Blood Sport (1988) imewekwa na kuna pia Commando (1985) pembeni basi hata kula wanasahau; na TV bado hazijaenea kivile. Miaka imekimbia sana aisee. Imagine madogo waliozaliwa 1985 wanatuita baba sasa hivi nao eti watu wazima na familia zao [emoji15]
Mkuu hata wewe mwaka huu bado! Tupe heshima yetu wazee[emoji23][emoji23][emoji23]Enzi zetu....wengi wenu hapa bado hamjazaliwa...
View attachment 2034596
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani, hako kamtumishi kenyewe sasa. Bora ningeselfika mapema kumbe, mngekuwa mshanizoea
Hivi Ely 79 sasa hivi una 41 eeh?Mzee tushazeeka yani, life is so fast yani. Sio poa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2034942
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani we katoto! Nina 55 saivi, niko kwenye umri wa kustaafu kwa hiari.Hivi Ely 79 sasa hivi una 41 eeh?
Miaka inakimbia.
Dada yangu wa 80 jana amefikisha 40.
December 12 nagonga 76. Nadhani ndiye mzee JF nzima. Najiweka hapa ili tu kubakia sharp mentally. Hata last born wangu anakuzidi umri kwa miaka zaidi ya 20!Mkuu hata wewe mwaka huu bado! Tupe heshima yetu wazee[emoji23][emoji23][emoji23]
55 unaiokotea wapi Ely?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]yaani we katoto! Nina 55 saivi, niko kwenye umri wa kustaafu kwa hiari.
Weka hivohivo bana sura ngumu ndo tamu siunajua fleva za watu wazima bana rafiki mahendsamu tunawaachia hawa Vijana!!!hahahaha.... najua ni chitchat ...zangu ni mbaya mno Rafiki hazivutii kuwekwa
Uwongo kwenye utani? [emoji15][emoji15][emoji15]Uwongo hatakama ni wa utani ni zambi.
anakuaje mtumishi?
Imeisha hio😅[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2034942
Acha kabisa mimi nagonga 80 baada ya miezi miwili.......December 12 nagonga 76. Nadhani ndiye mzee JF nzima. Najiweka hapa ili tu kubakia sharp mentally. Hata last born wangu anakuzidi umri kwa miaka zaidi ya 20!
Asubuhi uliahidi kuwa utarusha picha ukiwa kazini. Mbona hujatekeleza. Nimechoka kuchungulia jamani...Weka hivohivo bana sura ngumu ndo tamu siunajua fleva za watu wazima bana rafiki mahendsamu tunawaachia hawa Vijana!!!
Aseee... Asante Mungu ❤️Sometimes girlish, But sometimes.....View attachment 2034046
Wewe najua unatania. Mimi ni kweli!Acha kabisa mimi nagonga 80 baada ya miezi miwili.......
mara nyingi nipo hapa nacheka na wajukuu tu
Leo leo naifungua. Dah nilikuwa nimesahau!Si umefunga PM Mtumishi?
Haha.. nimetingwa kidogo rafiki usiwaze mida mida usikose!Asubuhi uliahidi kuwa utarusha picha ukiwa kazini. Mbona hujatekeleza. Nimechoka kuchungulia jamani...
Kama nakutania ww nialike utaona kibabu kinaibuka kwenye mualiko ujue ndio mimi...Wewe najua unatania. Mimi ni kweli!
Na mwaka huu naalika baadhi ya wanaJF waje wahakikishe wenyewe!
Gangstaz Paradise, loving what i see😍Sometimes girlish, But sometimes.....View attachment 2034046
Huwaga uko msupu toka dei dei!Mara moja moja tu huwa nakuwa msupuu [emoji16][emoji16]