#PrayerMountain#
#MaombiNiAkiba#
Tusisahau kusali wapendwa, especially wakati ambapo kuna amani na shwari kuu kwenye maisha yetu. Wakati wetu wa tabu na dhiki; hata nguvu za kufungua mdomo na kuomba wengi wetu huwa tunakosa. Akiba yetu ya maombi tuliyojiwekea, inatusaidia tunapokuwa dhaifu na kuishiwa nguvu. Methali 24:10 "Ukizimia siku ya taabu, nguvu zako ni chache"
WAKE
PRAY
SLAY.
Saint Anne niendelee na slaying time ama nisiendelee?
View attachment 2032935View attachment 2032936View attachment 2032937View attachment 2032938