Selfika na JF: Snap it. Show it

Ee tilisha mtori bablai nyama zipo danta [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee ni kiboko ya watu fulani, na umewanyoosha. Aseeeeh
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Kusudi la Mungu katika maisha yako ni jema sana! Mtii Mungu na umruhusu awe kiongozi wa maisha yako.

Kuna muda utakumbana na matatizo, jiandae kwa kufanya ushirika na Mungu.

Mungu atawale maisha yetu milele[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…