Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwaheshima na taadhima naomba nichukue likizo ya kudumu kwenye huu uzi.Asante Mungu uzi haujafutwa japo dhoruba ilikuwa kubwa.
Asanteni washiriki wote na lile jeshi pendwa la "wanawake".
Mshana Jr nimechukua kitu kingine cha kuendea sokoni.
View attachment 1224059 kitu cha VL.
Na sasa naanza safari ya kuja kwako tujishindanishe viatu halafu utaleta matokeo.
Ila nilipenda tuu kusema "natembea nikiwa nimekaa. Hakikisha tunapokutana kuna parking nzuri. Nakuja pm.

View attachment 1224060
Wenye wivu hawataamini.
good day.
Hahahaha unatembelea makalio siyo?? Anyway naona lile jeshi linaanza kupungua taratibu kwenye huu uzi sijui na mimi nijiengue tu maana naona ni wiki sasa sisomi nyuzi nyingine nashinda humu tu daah nipunguze sasa aise niwe naingia mara moja moja tu, see you in MMU.
 
Matawi haya siyawezi aisee ache nipambane na wenye vitz,passo,funcargo,IST and the like
 
Hahahaha unatembelea makalio siyo?? Anyway naona lile jeshi linaanza kupungua taratibu kwenye huu uzi sijui na mimi nijiengue tu maana naona ni wiki sasa sisomi nyuzi nyingine nashinda humu tu daah nipunguze sasa aise niwe naingia mara moja moja tu, see you in MMU.
 
Kwaheshima na taadhima naomba nichukue likizo ya kudumu kwenye huu uzi.Asante Mungu uzi haujafutwa japo dhoruba ilikuwa kubwa.
Asanteni washiriki wote na lile jeshi pendwa la "wanawake".
Mshana Jr nimechukua kitu kingine cha kuendea sokoni.
View attachment 1224059 kitu cha VL.
Na sasa naanza safari ya kuja kwako tujishindanishe viatu halafu utaleta matokeo.
Ila nilipenda tuu kusema "natembea nikiwa nimekaa. Hakikisha tunapokutana kuna parking nzuri. Nakuja pm.

View attachment 1224060
Wenye wivu hawataamini.
good day.
aisee na mi na wivu wangu nimegoma kuamini😁😁😂😂😂
 
Mshana Jr hebu sema neno mzeee mvua iishe tufanye mambo yetu.
20191005_113547.jpeg
 
Back
Top Bottom