Selfika na JF: Snap it. Show it

aah! wapi mie ni jobless mpambanaji siku nikipata kibarua huwa napotea jf, michongo imekata tunashinda tu gheto mkuu.. noma tu kimbilio JF tunatoa stress
Haha naona unaendeleza harakati zako za kutaka kupunguza attention kutoka kwa 'wale wenzetu' siyo? Sawa kabisa nimekuelewa na kuna wakati ni jambo jema kufanya hivyo!
 
mommah watu wamevurugwa, yaan wakiguswa kidg wanaweweseka na LGBT hata hapausiani lol.
 
Wala hata cc angu Co lesbooh,
 
mommah usinichekeshe mie, af mbna mie wala sipo ktk matus, na wala siwezi kupigana na mtu kisa jambo hili, ntapingana naye kwa hoja tyuuh, tukishindana ktk maelewano bas kila mtu anashika njia yake, straight ndo huwa wanatoa sana matus, kejeri, mihemko


Mwisho wa siku kila mtu anaishi ktk maisha yake binafsi.
 
Waambie hao na wanadhan kila Tom girl n gay, kumbe n hormonal imbalance. Ukute hata u gay wenyewe haujui
.

Huwa nataman sana nianzishe mada niwape watu Elimu, tatzo modes watafuta uzi wangu au kunipa Ban,
 

Huu n mtori, nyama ziko chini.
DJ waleteeeeeeh
 
Naleft mazima.
Ngoja sasa nianzishe kampeni ya Wanyaki wote mjumuike hapa tupambane mpaka Mama Mchungaji aselfike. Sema sasa shida itakuwa wewe kuondoka JF. Hilo halitawezekana. JF bila Saint Anne haitanoga wala. Labda useme utapumzika JF kwa wiki mbili hivi lakini siyo mazima. Mazima haiwezekani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…