Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
😀😀😀😀😀 na hii ni 13 sijui 14 itakuwaje... mie fogo wapi mkuu wangu.. mie Kijana wa hovyo hovyo .. ushawai kuona fogo anashinda JF nipo hapo chuo cha ustawi wa jamii nakul shuleDaah sema camera za iphone macho matatu ni konyo kwa kweli, yaani kitu crystal clear. [emoji3][emoji3] Ningekuwa sikufahamu kama wewe ni fogo ningesema huyo siyo wewe umechukua picha ya mtu mwingine, si unatujua tena wabongo mtu akiwa hana analazimisha wote wawe hawana kama yeye. [emoji2][emoji2]
aah! mie sikoseagi asee, 😀😀😀😀😀Ooh okay
Inaonekana alikuwa chombo balaa .
Ni kweli, hujui miaka mitano mbeleni kuna vitu hunadirika kwenye maishaAahh basi wewe hufai kabisa kuwa kaka yangu. Mimi sina kaka sisi kwetu wote tumezaliwa wa kike, hivyo wanaume wote wanaonitongoza huwa natamani waishie tu kuwa kaka/rafiki zangu, na hii ni kwa faida yao wenyewe maana mimi atakayekuwa mpenzi/mume wangu namuonea huruma sana.
Noma sana .aah! mie sikoseagi asee, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Muhimu sana , unatakuwa unajivunia hata kutoka na mtu out, ukimuona tu roho inafurahi.. mbele ya watu unapita kwa kujiamini ... kitandani na home anakuwa rafiki yako 😀😀😀Noma sana .
Well said ,hujakosea kabisa .Muhimu sana , unatakuwa unajivunia hata kutoka na mtu out, ukimuona tu roho inafurahi.. mbele ya watu unapita kwa kujiamini ... kitandani na home anakuwa rafiki yako [emoji3][emoji3][emoji3]
Huu ni utani sasa dah!
Naona kabisa nitaanza kushawishika kununua hivyo viapple vyenu wakati mimi ni team samsung kindakindaki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na hii ni 13 sijui 14 itakuwaje... mie fogo wapi mkuu wangu.. mie Kijana wa hovyo hovyo .. ushawai kuona fogo anashinda JF nipo hapo chuo cha ustawi wa jamii nakul shule
Aahh mie kwangu vitabadilika vyote ila siyo Hayo masuala aiseNi kweli, hujui miaka mitano mbeleni kuna vitu hunadirika kwenye maisha
aah! wapi mie ni jobless mpambanaji siku nikipata kibarua huwa napotea jf, michongo imekata tunashinda tu gheto mkuu.. noma tu kimbilio JF tunatoa stressNaona kabisa nitaanza kushawishika kununua Hivyo viapple vyenu wakati mimi ni team samsung kindakindaki
Aahh yawezekana unashinda humu kumbe una channels shazi za dinero ila umeweka watu wakufanyie kazi tu
kila kitu kinawezekana chini ya jua, hata shetani hakujuaga kama ataingia mkenge 😀😀😀Aahh mie kwangu vitabadilika vyote ila siyo Hayo masuala aise
Zamu yetu wamama kujipost bado, ngoja mabinti wamalize kwanza[emoji126][emoji126]Kwan hujawahi kuona? Mbna hua anawekaga,
Au unatak full, [emoji23][emoji23][emoji23]
Iv mama wa malezi Heaven Sent ashawahi weka picha kweli?
HS akiweka picha mimi nahama jf.
Jinsi gani ni jambo lisilowezekana.
Eti hakujuaga kama ataingia mkenge[emoji38][emoji119][emoji119]kila kitu kinawezekana chini ya jua, hata shetani hakujuaga kama ataingia mkenge [emoji3][emoji3][emoji3]
Liishe na pichalimeisha Nkamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Twende kazi[emoji23][emoji1787]Hiyo siku hiyooo; i karibu sanaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamu yetu wamama kujipost bado, ngoja mabinti wamalize kwanza[emoji126][emoji126]