Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Paragraph ya kwanza imenichekesha.

Studio waleteeee.


BTW sichangii mada yenu.
 
Mkuu unatwanga maji kwa kinu, nilishafanyaga kumu ignore huyo dogo.. anafurahi sana ushoga kijana wa kiume chenga kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dj waleteeeeeeeeh.

Na ntawachambua m1 by mwingne, af wee ndo una akili sana, ulivoni ignore, na ndo inavyotakiwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ila jf jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Unaweza amka huna hili wala lile unakuta umewamiwa kwenye comment yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc watu wamevurugwa ujue, jua kali, mgao wa maji na umeme, hasira wanataka wazipumzikie kwa wenzao, tena mti mwenyewe mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ntawapa heka heka na kuwarusha rusha km vitenesi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…