Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaaa hata mie ulivyosema tu una sis wako tom boy nikawaza hivyo kuwa mmebadilishana! Anyway i hope hayuko kwa ile society kindakindaki au na yeye ni one of them?
Huyo ni hatari sasa, yaan yuko huko kabisaa, sidhan hata km unaweza mfikia yeye.
 
Haya bwana, mie ndio mwanaume najua ukweli [emoji3][emoji3]
Dooh yaani bora hata ungesema "mie ndiyo daktari wa wanawake najua ukweli" walau ungeweza kunishawishi ila kumbe ni mwanaume tu? Kwamba ukishakuwa mwanaume tu basi automatically utajua kila kitu kinachohusiana na uzazi kwa mwanamke? [emoji2297][emoji2297]
 
Nikatale ila huo ukweli, ili kuondoa utata uje ofisini kwetu tukupime bure kabisa tukuoneshe position ya kiazi chako 😀😀😀
 
Nimekumbuka ile meme fulani kipindi cha corona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inahusu wa kujadili masuala ya Corona,yaani nimejikuta nacheka pekeyangu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…