Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
naona shundu kwa mbaliiiiiii.
hahahaha
naona shundu kwa mbaliiiiiii.
Aisee, hatari sana!Oteeni nacheza wimbo gani!View attachment 2027988
Mbona umegoma kuweka lile shape matata?Uzi umenoga
Amina kubwaAsante sana mpendwa T 1990 ELY, ubarikiwe...
Unajiziba mno mkuu
Wenye shundu zao wapo wametulia mimi sinanaona shundu kwa mbaliiiiiii.
Ndo nataka kuona ulivyojikubali sasa mkuu maana najaribu kukuchungulia ila wapi giza tuMhmm kuna kuthaminishana tena!!!??? Unataka kumkosoa mungu!!!!!!!!???? Ukijikubali ulivyo yatosha
Vizuri sana kama ni njema sanaNjema sana mkuu
Amina Amina kubwaaa!!Vizuri sana kama ni njema sana
Bhasi wote tuseme amina mpendwa
Akhsante ubarikiwe mpendwaAmina Amina kubwaaa!!
Jua kali..View attachment 2028320
Naamka na bashasha teleee we ni mnomaDada wa Google anawasalimu kwa jina la selfika na jf
View attachment 2029024
Finally, lile shape matata. Nina bahati kuingia tu naliona, manake siku hizi mnafuta sana.Dada wa Google anawasalimu kwa jina la selfika na jf
View attachment 2029024
Ewaa..huoni leo siku imeanza poa!AnawasalimuView attachment 2029036