Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ah wapiMwanamke mjinga Huharibu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe!
Huu ulikuwa uchumba sugu

Ah wapiMwanamke mjinga Huharibu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe!

Songa naye mbele kama injili.We msamehe mwenzio bana![]()
Naona leo hutoki hadi kieleweke sio!!!??hahahaha
Majimbo yapo wazi
Nilikuwa naforce mamboBasi humpendi mwenzio wewe
Naona leo hutoki hadi kieleweke sio!!!??
Nilipiga imekaa vibaya!!!hahahaha..nione km kweli utatimiza ahadi
kwangu itakaa vzr ucjari RafikiNilipiga imekaa vibaya!!!
Halafu ule muda ndo huu.... Tupia basiMmenda kulala??![]()
Mhm itabidi niiedit sasa... Haijakaa vema kabisa dakika sifuri!kwangu itakaa vzr ucjari Rafiki
Haya ngoja mie nijibebee mchumbaSonga naye mbele kama injili.
Halafu ule muda ndo huu.... Tupia basi
Hahaha ngoja nipambaneMzee wa mitulinga upo vizuri kwenye self promotion
Kaza mkuu unaweza Kum cc muda si mrefu Kaka km Mzee wa mwongozo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mhm itabidi niiedit sasa... Haijakaa vema kabisa dakika sifuri!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haya ngoja mie nijibebee mchumba
Weee mie mkubwa. Silalihahahaha...alimaanisha. ni muda wetu vijana wa zamani kutupia Maneno sio picha .lale we mtoto usisikie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣