T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,490
Vizuri sana kama uko vema kabisa dadaNiko vema kabisa kaka T 1990 ELY , u hali gani wewe
Mimi niko poa/salama kabisa mpendwa
Karibu Lenie
Vizuri sana kama uko vema kabisa dadaNiko vema kabisa kaka T 1990 ELY , u hali gani wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] japo St kayumba, ila kwenu si haba uhakika wa blue band ulikuepo,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha mbali sana. Kuna kipindi mvua ilikuwa inanyesha sana...sasa nilikuwa na soksi mpya nyeupe na nilikuwa natamani kuzivaa balaa. Nikaambiwa nivae pundamilia za siku zote mpaka mvua ziishe kwaajili ya matope.
Utoto ulivyo mbaya...nikajiibia pair nikavaa. Zilivyochafuka sasa [emoji849][emoji849] Wakati wa kurudi nikasema hapa cha msingi nizitupe [emoji16][emoji85][emoji85] So nikavua nikatupa kabla sijafika home...alafu nikazuga kama vile sikuwa nimevaa soksi that day![emoji57][emoji57]
View attachment 2028650
St. Kayumba kama St. Kayumba [emoji846]
We mshua bn sikuwezi Kaka[emoji23]Satoh Hirosh ndugu yangu nipo na mdosi hapa nimemletea mzigo wake
Depal code njoo tule maisha basi [emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 2028560
Yupo na amejaa tele, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana wa kiume vipi[emoji1787]
Kabisaaa yaan. [emoji23][emoji23][emoji23]Umeonaa eeeehhh!!![emoji3577]
A town, [emoji23][emoji23][emoji23]Ni wapi?
Yes.. Mtaa?A town, [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee hapan siwezi mambo hayo mie.Tamu sana! Jaribu one day....
D mjamzito au[emoji44]Cook with sheikh Depal [emoji1787] njoeni tupike..View attachment 2028489
🤣🤣🤣🤣We mshua bn sikuwezi Kaka[emoji23]
Alafu kwenye bata umemtag depal Tu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ndio S
Asante sana mpendwa T 1990 ELY, ubarikiwe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkalae nna raha gan? Mambo yamenichachia hadi nikiguswa kidg nashtka, marejesho ya vicoba hayaridhishi, hisa hazijapanda, upatu na mpeano nako sielewi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em kalale huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ualazo au?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante sana. [emoji23][emoji23][emoji23]Karibu tena mkuu
😁😁[emoji23][emoji23][emoji23] japo St kayumba, ila kwenu si haba uhakika wa blue band ulikuepo,
Mwenyeji km mwenyeji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nkalae nna raha gan? Mambo yamenichachia hadi nikiguswa kidg nashtka, marejesho ya vicoba hayaridhishi, hisa hazijapanda, upatu na mpeano nako sielewi,
Hadi mishipa ya nyege inasinyaa na kurudi tumboni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msieeeew.U..zz...e....