Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,767
- 22,041
Mimi namsikiliza yeye zaidi[emoji2369]Eti Jack ya kweli haya?
Mi nshatupia nyingi tu
Beautiful little angel! Love from ur uncle[emoji991]Daughter [emoji123][emoji123]View attachment 2028530
Mkuu nimeachwa nikaachikamkuu nini tena kimetokea?
Mkuu my advice dont post ur kid pic hereDaughter [emoji123][emoji123]View attachment 2028530
Valentina can i see ur pic plz[emoji120]We usikubali kuachika kirahisi rahisi mwaya
@mahondaw kasababisha[emoji28]Hahahaha duh pole sana ,umekosea wapi tena mkuu
Linaonekana teke flani afu tamu sana!View attachment 2028544
Street life
Nishaachana naye huyo.
Kuwa huru tu.
Mpe maarifa kijana sijui anakwama wapi!Hahahaha duh pole sana ,umekosea wapi tena mkuu
Cc: ValentinaNishaachana naye huyo.
Kuwa huru tu.
Mpe maarifa kijana sijui anakwama wapi!
Mkuu mi sio kijana[emoji23]hahahaha..mambo ya vijana siyawezi Rafiki
Mpe maarifa kijana sijui anakwama wapi!
Eti eeeeeh!!zamani kama alikuwaga muoga hivi!!Ukiona mpaka anapost hvyo ujue jimbo lipo wazi.