Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Satoh Hirosh ndugu yangu π₯²π₯²π₯²π₯²
Hii ni bite bila shaka!!.
Asante Eizyek.
π€£π€£π€£π€£π€£Unataka kusema na wewe ulitii agizo la Paul Makonda la kuhama dsm kwa ambao hatukuwa na shuguli ya kufanya?
Pamoja na Uzee wangu ililazimu nihame dsm kukimbilia Mkoani πππ
Mnatufanya sie watoto π π π πNini braza?
Nina neno la akiba kwa ako kamdomo.
Jamani jamani!!Siku ukiacha kuzingua nitakupa zawadi
Lips traaaamuuuuuuu!!ππππππ
Jina langu lilihama kutoka kuwa Baba mwenye nyumba hadi kuwa Mpangaji ππ€£π€£π€£π€£π€£
Siunaona vibanda vilivyobomolewa π Maisha ya Dar yamenizidi nguvu.
Naaam.
Nothing sisitaNini braza?
Mzeeiya!! ππMnatufanya sie watoto π π π π
Morning glory eeh [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]....
utetezi wako unafanya uwe mgumu zaidi ... inabidi ijumaaa tutakeshe morogoro
Inanogaje nogaje kwanza?
Kama grand malt??
Kumbe hata jikoni upo vizuri eeh[emoji38]Mje mjipakulie.. Na mje na vinywaji.. View attachment 2026192
Mtu unakula na kushibaHii ni bite bila shaka!!.
hakiwezi kuwa chakula serious mtu kushiba