Lizzy anashiba vizuri Tu na kesho kunakucha hata miayo hapigi πSeafood mai futi. Mtu hata kushiba hakuna yaani ukifika home inabidi tena upike kaugali ka kusukumizia. Utopolo mtupu! [emoji16][emoji16][emoji51]
View attachment 2025780View attachment 2025781
Hahaha[emoji23]Seafood mai futi. Mtu hata kushiba hakuna yaani ukifika home inabidi tena upike kaugali ka kusukumizia. Utopolo mtupu! [emoji16][emoji16][emoji51]
View attachment 2025780View attachment 2025781
πππππ hapa ndio naamka asee , nakutana na mvuaa tu.. mda huo Depal alikuwa kalalia kifua weweeeeMtoto Depal sasa hivi yupo fofofo,midenda inamtoka shavuni inachafua shuka...Kwa kuawahi kuamka sasa,Kama jogoo[emoji28].Akiamka me ndy najiandaa kwenda kulala
Ila tunaofanya kazi za kukesha tuna maisha magumu sn.Yani mida huu mtu upo macho unaweza kujikuta unazibuliwa vibao vya uso na majini [emoji1787]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
kweli naona mpo mzigoni, safi sana kazi za night, umenikumbusha mbali sana, nilikuwa napenda sana night shift, zina raha yakeMkuu wengine hatuna shida za mahusiano,Ila tuko night shift tunatekeleza Sera ya hapa kazi Tu
Tunatumikia taifaView attachment 2025671
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mnatunyima vitamu tuuuβΊοΈβΊοΈ
Hahahaha......hatari sana[emoji2][emoji2] hii misemo mingine banaView attachment 2025805
π§π§π§π§ Basi umefaidi aseee.Umejuaje kama alikuwa amelalia kifua changu
Mtoto mta...........yule
Habari za asubuhi mkuu Holy Man
Wataje mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Walio amkia Lodge na ma hotelin utajua tu kupitia misosi wanayo post na walio makwao [emoji3][emoji3][emoji3]
mku huo msosi wako hapo ni home au ππππ
Hapo home mkuumku huo msosi wako hapo ni home au [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulibadilishana na majina.
Akaajiita Saint Jack,nikajiita Anne Palladino.,
Nikawa namwaga hadi mashairi mtoto wa watu kama mwanahiphop vile,
Nikamwandikia na maujumbe ya mahaba kwa mwandiko wangu mzuuri ..
Lakini wapi[emoji23],jini mkata kamba akapita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walio single, walio nuniana, wenye mahusiano yanayo pumulia oxygen... hawaishi kuchart hapa hata saa tisa za usiku [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]